Jeremiah 25:5
5
Walisema, “Geukeni sasa, kila mmoja wenu kutoka njia yake mbaya na matendo yake maovu, ndipo mtaweza kukaa katika nchi ambayo
Bwana
aliwapa ninyi na baba zenu milele.
Copyright information for
SwhNEN